Serikali na viongozi wake ni muda sasa wa kuwambia ukweli wahitimu wetu katika nyanja tofauti ukiangalia idadi ya vijana waliomaliza vyuo inatisha, wanaojitolea kwa posho kidogo ndio usiseme.
Nini cha kufanya fanyieni marekebisho mitaala yetu ili kijana anapomaliza masomo aweze kujiajiri tofauti na hapo mnatengeneza bomu mbaya sana tunakoelekea na dalili zote zipo wazi.
uchumi which, uchumi who, uchumi when, uchumi how,..., wasidanganyw vijana kama ni injini wairasimishe hiyo kazi mbali na hapo wanawapamba kwaajili ya kampeni