Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu?
Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo wao wa kufikiri unaishia tu pale Mungu anapoleta kiangazi chake, na akili za wataalam hao wa Tanesco haziwezi kuvuka hapo ili kusovu tatizo hili la mgao wa umeme linalosababishwa na ukosefu wa maji kwenye vyanzo vya nishati hiyo!
Naishauri serikali ya ccm iachane na hii laana ya kukabidhi bandari zetu kwa DPWORD, na badala yake wabinafisishe shirika hili la Tanesiko lenye kero kwa wananchi na linaisababisha hasara kubwa serikali na wananchi kwa ujumla
CCM, kama mnadai bandari hazina faida katika nchi hii ili hali hakuna ripoti yoyote ya Mkaguzi wa hesabu za serikali AG inayobainisha hasara hizo huku kukiwa na ripoti lukuki kubainisha hasara zilizosababishwa na shirika la Tenesco, mnaachaje kubinafisisha hili dubwana?
Mpaka naingia mtamboni kuripoti habari hii, niliko, ni siku ya tatu mfurulizo ni mgao wa umeme
Taraishi na dubwana hili hadi lini?
Tutavumilia hali hii miaka mingapi katika nchi yetu hii?
Otherwise DPW ni mataper!
Kwa nini wanawekeza mahali sisi tunapaeza?
Kwa nini wasichukue hili Dubwana Tenesco?