ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Jina kamili ni Abdulkadir Bin Hassan,
Naishi Tanga,
Kazi yangu ni Tour guide,
Nina miaka 20,
Nahitaji mpenzi serious nahitaji mwanamke anae jitambua kutokana na umri wangu nimeona ni jambo jema kutafuta mwanamke mapema sio kama mtaani hakuna ni maamuzi yangu kutafutia humu.
Sifa za mwanamke ninaehitaji;
Awe ni mwenye tabia njema,
Ajue thamani ya mpenzi,
Awe mtafutaji.