Kama kuna mdau anayehitaji kazi ya mechanical engineer , awe na degree ya mechanical engineer,,kaujuzi kidogo,,,ani pm .......hii ni serious na kazi ipo,,,sio uswahili........salary 1,000,000/=
management + technical,,yeye ndio atakuwa incharge wa hiyo department,,miliono moja ni takehome,,,,,,ambaye huko tayari pm nimconnect na jamaa na ajue conditions zangu.