ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Samahani wakuu video zimekataa kuji upload hata hivyo unashauriwa kwenda YouTube na ku search serious funny tz na Iman utaifurahia na kukubaliana na mimiHawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye mabadiliko tasnia hi ya comedy ieandane na Hali ya Sasa..
NB:SIWAPIGII PROMO BALI NIMEPENDA TUWE TUNASHEA VITU VIZUR PAMOJA
JF SASA USIPOTOA ANGALIZO KAMA HILO UTASKIA WAKURUPUKAJI WANAISHIA KUSEMA NIMETUMWA KUWATAFUTIA KICK
BAADHI YA KAZI ZAO HIZI HAPA
Najua Tena Kwa Hali ya Sasa ivi awamu hii naona watu tumesomeshwa namba itakuwa ni kazi Sana kuwafanyA watu wawe na siha usoni.. Kwa mwanzo Hawa vijana wameanza poa kundi linajitahidi. Nasubiri michango ya wengine ili nione kama mtizamo wako una usahihi japo kidogombona hawachekeshi au hujui kuchekesha watu ni kazi ngumu kuliko kubeba zege
Hawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye mabadiliko tasnia hi ya comedy ieandane na Hali ya Sasa..
NB:SIWAPIGII PROMO BALI NIMEPENDA TUWE TUNASHEA VITU VIZUR PAMOJA
JF SASA USIPOTOA ANGALIZO KAMA HILO UTASKIA WAKURUPUKAJI WANAISHIA KUSEMA NIMETUMWA KUWATAFUTIA KICK
BAADHI YA KAZI ZAO HIZI HAPA
hao hakuna kitu hawana uwezo wakuwafikia wale wa jambo na vijambo.Hawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye mabadiliko tasnia hi ya comedy ieandane na Hali ya Sasa..
NB:SIWAPIGII PROMO BALI NIMEPENDA TUWE TUNASHEA VITU VIZUR PAMOJA
JF SASA USIPOTOA ANGALIZO KAMA HILO UTASKIA WAKURUPUKAJI WANAISHIA KUSEMA NIMETUMWA KUWATAFUTIA KICK
BAADHI YA KAZI ZAO HIZI HAPA
Naunga mkono nimecheka Sana na Hawa JAMBO na vijambo wako vizuri Sanahao hakuna kitu hawana uwezo wakuwafikia wale wa jambo na vijambo.