Serious: Im looking for a lady for marriage

Serious: Im looking for a lady for marriage

Kigali

Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
33
Reaction score
10
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Dar Es Salaam natafuta mke wa kuoa.
Kwa hiyo nimeona leo nije hapa kuona kama nitapata ninachohitaji
Natafuta msichana ambaye yupo tayari (serious) kuolewa.

1.Mimi umri wangu ni miaka 29
2. Mkristo toka ktk madhehebu ya kipentecoste
3. Mimi ni mweusi
4. Urefu wangu ni 158inches
5. Elimu yangu ni diploma na ni mfanya kazi

Sifa zake:
1. Awe mkristo kutoka ktk madhehebu ya kipentecoste.
2. Awe na umri wa 19yrs hadi 23yrs,
3. Awe mweupe wa wastani (sio mweupe sana)
4. Awe na elimu ya form 4 au form 6

Kwa msichana ambae yupo serios tafadhali tuwasiliane kupitia email yangu: masabuelly@hotmail.com

Asanteni
 
Aisee: Kaka jina lako nilihisi unaishi nchi jirani kumbe hapa bongo...
Anyways, hongera kwa uamuzi wa kutaka kuacha ubachela Mungu atakusaidia ila uwe makini na wadada waliookoka coz wengi wao kwa sasa wanaangalia una nini kwa maana status yako financially. lakini bado naamini kuwa unaweza kupata unachokitafuta.
Nakutakia mafaniko ndugu yangu ila ukipata mtu sahihi ni vema ukarudi hapa kutoa shukurani naamini utapata.
 
Asante Fmewa kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi
 
Jamani ningekuwa mlokole si ningeukata na mimi ningejipatia Ndikumana wangu......
 
Jamani ningekuwa mlokole si ningeukata na mimi ningejipatia Ndikumana wangu......

We usiwe na hofu, mtafute huyo kijana ujue kanisani kwao anza kwenda kama kawaida
mbona utampata tu
 
Back
Top Bottom