Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kazi sehemu ya kusupply.. kazi inalipa ninauzoefu nayo. Kwa yule ambaye yuko serious anayo cash na hajui cha kufanya anipm
Mkuu naona wewe utakuwa rahisi kunielewa, mi ningrpenda kuifanya lkn inahitaji mtaji mkubwa ambao mimi sina.. sasa nimeona nibora nipate mtu mwenye cash yeye atoe cash mi nitoe kazi.
Watu wako makini sana siku hizi, hata jamaa yako wa karibu anaweza kukuliza na usiamini, pesa mwanaharamu! Kama umefanikisha kupiga magumashi ukapewa hiyo kazi wakati hauna uwezo nayo mi nakushauri either uiuze kwa mtu mwenye uwezo anayesupply vitu ulivyopewa kazi, kama ni kusupply cement nenda kwa wauzaji muelewane, akupe mzigo ukauze, au afanye yeye hiyo kazi umpe kampuni yako kwa wakili kabisaa mpaka benki mfike, au unaweza wewe kuongea na meneja wa tawi lako la benki, kama wewe ni supplier basi ka-akaunti katakuwa kanasoma kimtindo, la sivyo siyo rahisi mtu kukupa 60M kirahisi, kama hautojali niinbox hivyo vitu vinavyohitajika kusupply!
Ndugu najua 60m nikubwa. Vilevile kama kuna mtu yuko serious tutakaa taratibu zote za kisheria lazima tuzifuate maana si pesa ndogo.
ni biashara ya faida kiasi gani? Na kwa muda gani? 60m nikiweka bank napata riba ya 11% kwa mwaka na risk yake ni ya chini sana na mimi sihitajiki kufuatilia uwekezaji ambao bank wanafanya kwa kutumia hizo pesa zangu(I just wait for my interest). Kwa hiyo, ili unishawishi ku-inject pesa hiyo kwenye biashara yako ni lazima unihakikishie return ya zaidi ya 11% na kuweka wazi all the risks.Nina kazi sehemu ya kusupply.. kazi inalipa ninauzoefu nayo. Kwa yule ambaye yuko serious anayo cash na hajui cha kufanya anipm