miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
- Thread starter
-
- #121
Wenye kuelewa wanakuja pm najushangaa unavohangaika kuongea kisichokuhusu pita [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]Kweli Hamy-D huyu dada inawezekana ndiyo sababu ex wake alimwacha na akaamua kutembea na rafiki yake!!!! Hakuna mwanaume wa sasa hivi atakayekubali akae na mwanamke kwenye uchumba tuuuu bila kula mzingo!!
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
Wewe vipi ushawahiwa?inasemekana mkiambiwa kazi zao huko pm mnachikichia moja kwa moja tehe tehe tehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana bhanainasemekana mkiambiwa kazi zao huko pm mnachikichia moja kwa moja tehe tehe tehe
Hizo dini tuziache kama ZilivoSifa zote hizo ninazo isipokuwa dini tu ndio sawa na mbingu na ardhi.
Una miaka mingapPunguza umli kidogo nije
Nazan itakuwa unavyofikrUmeelewa kweli point yangu? Au umekurupuka kucomment
HayaNazan itakuwa unavyofikr
Pole yako, woawaji wa kweli hutowaona yaani utumike kwanza halafu sasa hivi ndio uweke masharti ya ku do ili uuze mbuzi kwenye gunia sidhani kama kwenye dunia ya sasa kuna mjiga wa kiasi hicho, ila watakuja unaowataka usisahau mrejesho mkuu
Mpiga dili upo?[emoji1]Kwenye umri please consider 35+ ni muhimu kwa mtu kama wewe kwakuwa zaidi ya kuwa mume lazima Kwenye baadhi ya majukumu atakuwa kama baba kaka au hata rafiki na kuna wakati kama binamu!
Mimi simlaumu huyu binti nitamcheka huyo fala atakaye kubali kuisubiria hadi ndoa hiyo papuchi iliyotinduliwa hadi kupoteza muonekano wake wa asiliTatizo huyo wa kwanza kala papuch weeeeeeeee,wa sasa unamnyima mpaka ndoa,ungeanza kumnyima wa kwanza ningekusoma