Serious man needed baadae awe mume

Kila binadamu ana uhuru wa kutoa maamuzi yake na yaheshimiwe.

Na hata kama umeona binadamu mwenzio amekosea mrekebishe na hata kuombeana mema.


naamini umenieleza kwa nia njema, nami nimemueleza kwa nia njema kuwa nitaendelea kumuombea awe single (si lazima maombi yangu yakubaliwe)!
 

Hapo 8, wewe bikra au unataka kumtesa kijana wa watu huku uliwapa tunda waliomtangulia kiroho safi
 
Dah....yaani no 8 ndiyo umeharibu kabisa....vipi kama mmeisha oana kisha unakuta kibamia ....au mpini wa shoka....au anakukuta na mfuko wa Rambo....btw all the best[emoji13] [emoji13]
 
Umetaja sifa zako nne tu dhidi ya sifa 8 za mtarajiwa wako.

Una umri wa miaka mingapi, kabila lako, unakoishi, una diploma ya na
Kiangalie upya kipengere cha umri. Kadri umri unavyoenda bila kuolewa mabinti hugundua kuwa soko lao kwa vijana na wanaume wenye umri mdogo linaendelea kwisha. Wanajutia kujichelewesha kupata wenzi wenye umri mkubwa. Nimekosa sifa kwa sababu umri wangu ni mkubwa.

Aidha, ujue dini si kipengere mosthimu sana labda kwa wenye itikadi Kali za kidini. Watu wa dini tofauti wameoana na wanaishi kwa amani na furaha. Waja wa mungu tumefumbuliwa macho. Tunajua kuwa dini si tamaduni za asili za Mtu Mweusi. Ni tamaduni zilizoletwa na Watu Weupe.

Kila la heri ila usiwe desperate ukaambulia mume asiyekufaa mume.
 
Jamani tendo la ndoa ni ishu ndogo sana kwenye mahusiano. Kuna mengi sana ya kufanya ktk relationship. So don't panic men kama uko serious jitume upate mke
 
Hongera. Unaenda kuoa wewe ? Au wewe ndiyo utakayeolewa ? Vigezo vya nguvu Mia saba.Safari njema.
 
Dah....yaani no 8 ndiyo umeharibu kabisa....vipi kama mmeisha oana kisha unakuta kibamia ....au mpini wa shoka....au anakukuta na mfuko wa Rambo....btw all the best[emoji13] [emoji13]
HV umeielewa hiyo no 8 vizuri??? Emb irudie ukielewa rudi na point nyingine
 
Asante kwa ushauri mzuri[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…