juliusJr
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 180
- 61
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh za muda huu ndugu zangu katika Imaan
Naam mimi ni kijana wa miaka 27 inshaalah mwezi ujao naongeza umri pia ninaishi Daresalam, Tanzania nilikua ninauhitaji wa mchumba ambae atakuja kua mke mimi ni Muislam hivyo bhasi ningependa ningepata Muislamu mwenzangu ambae atakua yupo seriously at least umri uanzie miaka 21-25 kiasi awe mrefu kidogo atleast fut 5 mpaka 6
Vigezo vikuu awe ni mwanamke anaependa kujistiri io ni lazima na pia ibada ya swala awe anajitahidi vipindi vyote (Nakazia hapo kwenye stara na ibada ndo kigezo kikuu)
Kuhusu kabila nipo open maana siamini kwenye izo kasumba kwa sana kwasababu mwenyezi Mungu ndo mjuzi
Lengo la kumtafuta mchumba ni kwamba kama tulivyoagizwa kulifanya ilo jambo kwa haraka tunapoona kuna uhitaji wa hilo hivyo naona ni wakati sahihi kufanya hivyo pia ni kufanya nusu ya deen
Lastly kwa ambae yupo serious anicheki PM
On user name usishangae nilislimu kutoka kwenye ukristo currently am pure Muslim
Ahsante