Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26
Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku
Rangi - Maji ya kunde
Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi
Sifa za ninaemuhitaji, awe ni mwanamke mweny sifa hizi;
Umri angalau kuanzi miaka 25 kushuka chini
Mweusi, akiwa maji ya kunde au mweupe wa kawaida
Itapendeza zaidi alie na uhitaji kama mimi aje DM, mengi tutajuzana humo.