Mimi ni mwanaume, 44 yrs Nina watoto wawili
Nimejiajiri kwa shughuli zangu binafsi hapa Dsm
Dini yangu ni Mkristo ,
Mwanamke anaehitajika,
Mkristo wa dhehebu lolote , umri, elimu na kabila so kigezo
Cha msingi awe mcha Mungu, mwenye upendo na mchapa kazi ,
Kwa kufahamiana zaidi karibu PM