Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa janga hili linalotukabili.
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba.
Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali.
Kwa sasa naishi Mwanza
Nipo hapa kutafuta mwenza ambae yupo serious.
Awe na umri usiopungua miaka 23 na usiozidi 30
Asiwe mlevi kupindukia
Awe na hofu ya Mungu.
Kwa aliyepo tayari naomba anitext DM au email ezekielpoint@gmail.com
Ahsanteni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app