PEACEKEEPER
New Member
- Dec 30, 2012
- 3
- 0
MIMI:mwanaume
UMRI:miaka 27
DINI:mkristo
ELIMU: BACHELOR
KAZI: MWAJIRIWA SERIKALINI
UMBO na mwonekano:mnene kiasi, Mrefu kiasi, mweusi
Namtafuta msichana kuanzia miaka 19-25, mwajiriwa, mkristo, urefu asiwe chini ya futi 5.5, mnene kiasi, rangi yoyote.
Aliye tayari tu ndio anitafute kwa kuni-PM then mawasiliano mengine baadaye.
Natanguliza maombi yangu kwa Mwenyzi Mungu kwani naamini yeye ndio atanipatia mke mwema hata kwa kunionyesha kupitia mtandao huu!
vile vile nawaombea vijana wenzangu wote-wasichana na vijana ambao bado hawajapata jiko.Mungu atawajalia.