MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 135
Tafadhari usika na kichwa cha Habari hapo juu kama kinavyo jieleza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Naishi Dar-Es-Salaam Temeke. Dini yangu ni muislamu. Natafuta mpenzi wa kike.
Hawe na Umri kuanzia miaka 20-26. Hawe anaishi Dar-Es-Salaam itapendeza zaidi akiwa huru.
Kama upo Tayari na una vigezo tuanze kufaamiana kupitia PM pia huwe huru kunitumia picha yako kwa utambulisho.
Ahsante sana ........ni mimi wako mtiifu Mkali w Mambo.