habari wandugu humu jf. Serious natafuta mchumba (msichana), kutoka mkoani mbeya anayehitaji kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia baada ya kukubaliana na kuelewana.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mweusi, mwembamba, sio mrefu wala sio mfupi. Ni mkristo wa moravian, nipo singo, sijawahi kuoa na wala sina mtoto. Situmii pombe wala sigara.
sifa za ninayemuhitaji:
Umri wake; asizidi miaka 24
mwonekano wake; awe
asiwe mnene sana wala mwembamba sana, si mrefu sana wala mfupi sana.
dini yake; mkristo
(mcha mungu wa kweli)
mahusiano; asiwe amewahi kuolewa
mtoto; asiwe na mtoto
pombe, sigara; asitumie
nb: awe anatoka mkoani mbeya
(ni muhimu)
KWA ALIYE SERIOUS NA MWENYE WASIFU HUO TUWASILIANE KWA NO. 0656380928