Kwan huku mpm Yule aliyetaka matured????vp mkuu wamekuja kuja huko pm na mimi nianzishe uzi wangu..!!!!!
ha!!! ha!!! ha!!!! ha!!!!Kwan huku mpm Yule aliyetaka matured????
Au kachomoa
Ukishaweka wako nitafuatia....vp mkuu wamekuja kuja huko pm na mimi nianzishe uzi wangu..!!!!!
Umeamua kukiasi chama?Ukishaweka wako nitafuatia....
mkuu hv yule matured humtak..!!!!Ukishaweka wako nitafuatia....
Haha mzee upo fasta umeweka censor kwenye post za wafanyakazi wenzako nini?Umeamua kukiasi chama?
Yule hapana aiseeh mwandiko wake upo harsh saana..mkuu hv yule matured humtak..!!!!
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!Yule hapana aiseeh mwandiko wake upo harsh saana..
Mkuu mtafute rubii humu nimeachana naye nadhani saivi yupo single .mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa na maisha yake.
sifa za mwanamke nimtakaye
1 Awe muislamu anaye ijua dini
2 umri miaka 22 mpaka 30
3 Elimu kidato cha nne na kuendelea
4 mwajiriwa au sio mwajiriwa ila awe no uwezo wa kuwa mjasiliamali
aliye Tayari ani pm tuwasiliane, Kama hauusiki usi comment,niko serious na sio utani,
Ulitakiwa ushuke mistali faza tena Kwa lugha ya malkia.ha!!! ha!!! ha!!!! ha!!!!
nimemtumia sms ya hellooow kanikaushia... na mimi situmi nyingine mpaka ajibu hiyo kwanza!!!!!
Kwani jamaa kasema ni mwalimu!Kuna dada yupo mwanza alikuja hapa anatafuta mwanaume ila tu asiwe mwalimu
unafikiri mimi muoaji sasa... kazi yangu kuvuruga vuruga tu...!!!!Ulitakiwa ushuke mistali faza tena Kwa lugha ya malkia.
Hello ya nn? Sasa
Teh uoe ugundue nini? Mwenyewe hajataka ndoa .....anataka happiness.unafikiri mimi muoaji sasa... kazi yangu kuvuruga vuruga tu...!!!!
akijibu kaingia kwenye 18....