Pole sana - uwe na imani na maneno haya ya Mungu yaliyoandikwa kwenye Isaya 40:28-29 "Je wewe hukujua; hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya Dunia - hazimii wala hachoki; akili zake hazichunguziki; Huwapa nguvu wazimiao humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo" Please pamoja na kupumzika, pamoja na kufanya medical check-ups - you also need to check your spiritual life - tengeneza mambo yako na Mungu, uwe na amani na Muumba wako; wasamehe waliokukosea au kukukwaza - dont load u r heart with anything hurting you - halafu pray earnestly to God - I tell you you will recover in full colours - kama unaenda for a short holiday - then it will be right time for you to do this - Kula vizuri, fruits na kunywa maji ya kutosha halafu OMBA - God hears, listens and answer prayers - I believe you will recover - moyo ukilimewa sana - ina-potray from the outside - MAY GOD SUSTAIN YOU - KAZI UNAYOFANYA YA KULEA YATIMA NI KAZI YA MUNGU NA MUNGU HATAKUACHA - KWANI KUFANYA HIVYO UMEUUGUSA MOYO WA MUNGU
- nitakukumbuka kwenye maombi yangu.