[emoji23][emoji23][emoji23] Karibu Pm
[emoji23][emoji23][emoji23] Afu wengine nao wanasema njoo pm
[emoji23][emoji23][emoji23] Nani anapaswa aende pm ya mwenzake?
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuweni siriaz nyie
. Bc mbongo anafeli Sana angesema fungueni pm nakuja haina hajaMwenye uhitaji!
Mkuu.Kwan mtoni apo?Chura yupo??? [emoji848]
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Njoo pmHello,
I am a lady of 25 yrs old, nimeajiriwa In a private sector. Mrefu, mwembamba & maji ya kunde.
Ni mkristo (Anglican).
Natafuta mwanaume ambae atakuwa rafiki then mchumba na Mungu akijaalia awe mume.
Awe Mrefu, Rangi yoyote, Mkristo, mwajiliwa/ aliejiajir, akiwa na mtoto pia ni sawa, awe mkweli na serious kwa mahusiano, Age range ya 30-45.
Karibu PM