Serious Relationship

Africasana

Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
14
Reaction score
21
Habari wanajamvi wenzangu!!
Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe

Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 29, mrefu kiasi mwembamba, mweusi kawaida.
Elimu yanngu ni Shahada but sijabahatika kupata kazi, hivo nimejichanganya mtaani kutafuta riziki hapa na pale. Kwa sasa naishi Dar es Salaam japo ni mwenyeji wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha.

Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 35.
Asiwe mlevi (bora awe mnywaji ila sio mlevi)
Awe anaishi Dar au mikoa iliyopo karibu na Dar itakua vizuri zaidi (japo sio muhimu sana)
Mimi ni Mkristo, lakini dini kwangu sio kigezo hata kidogo. Kwa aliyepo tayari naomba anitext DM au email zklevarist@gmail.com

NB: Naomba mawazo ya mtu yaheshimiwe, usicoment matusi tafadhali, huwezi jua nimepitia maumivu kiasi gani mpaka kufikia hatua hii!! Asanteni
 
Last edited:
 
Tunaheshimu mawazo yako. Ila kwa mtazamo wangu ni kwamba, huko unapoishi sample space ni kubwa sana kuliko selection ya kwenye social media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…