klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Ubaguzi tu,sie wa kaskazini tuolewe na nani sasa:sick:
JF wachaga tutailaumu kwa kutukosesha wachumba!:twitch:
kila la kheri....:coffee:
Wanaogopa maendeleo hao!
mshkaji anatafta mchumba, nyinyi mnamuongezea idadi ya post tu. kuweni serious banaNimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
Didnt know you was looking......:twitch:
mshkaji anatafta mchumba, nyinyi mnamuongezea idadi ya post tu. kuweni serious bana
ok lizzy...just simple u jus E-mail me i 'll send u ma un-editable pixs!
Nitume email wakati sijajua ntakutana na nini huko???:twitch:Weka kila kitu mezani|!!!!
wewe weka list ya shopping lako tu. nikimalizia ma paper work tu nakuja unifilisi. samtaimu kuchunwa ni hobby bana hatuwezi kuepuka.Unamjali sana Kloro eeeh? mi nimemtakia kheri kwa kuwa tangia umesema una LOAN sichezi mbali.....labda Loan ikiisha ntapepesa macho...lol
wewe weka list ya shopping lako tu. nikimalizia ma paper work tu nakuja unifilisi. samtaimu kuchunwa ni hobby bana hatuwezi kuepuka.
dah! hapo red hapo. akiona lizzy lazima ataweka kauzibe tu. me love you more bana wakijinyonga kazi kwao.Uko realistic sana Kloro,yaani you can make fun of anything.....kitu kama kinakuuma,we kifanye hobby maisha yaendelee.....lol
me love you Kloro me love you!!!:laugh::laugh::laugh:
Nimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
dah! hapo red hapo. akiona lizzy lazima ataweka kauzibe tu. me love you more bana wakijinyonga kazi kwao.
Nitume email wakati sijajua ntakutana na nini huko???:twitch:Weka kila kitu mezani|!!!!
hapa ndani ya wiki 4 kitu na box, usjali kabisa yaani breki ya kwanza Eifel Tower Golden Plaza, vigesti vya sinza ni marufuku katika dikshineri langu.wakijinyonga ndo furaha yetu....tuzidi pendana na kuwa huru.....ma-paper work unamaliza lini my lv....nime kumiss wewe na zaidi hiyo LOAN....lol:laugh::laugh::laugh:
hapa ndani ya wiki 4 kitu na box, usjali kabisa yaani breki ya kwanza Eifel Tower Golden Plaza, vigesti vya sinza ni marufuku katika dikshineri langu.
Haya wa Kaskazini tumeshatengwa hapa...
Mara vigezo vya elimu na dini vinakuwa tatizo, mara umri..
Kila la kheri kaka huko kwenye zone za Magharibu, kusini na mashariki
hiyo ni mitaa anayoishi hashy, uporoto na ze zefinest. hiyo mitaa zikipita dakika 45 hajanadiwa mwizi basi ujue yesu anarudi siku hiyo. hehehe matajiri tunapeta kweli aisee.Ndo wapi huko honey??? jina tu laweza niondolea appette ya LOAN na ile kitu.....mmhhhh
hiyo ni mitaa anayoishi hashy, uporoto na ze zefinest. hiyo mitaa zikipita dakika 45 hajanadiwa mwizi basi ujue yesu anarudi siku hiyo. hehehe matajiri tunapeta kweli aisee.
baba mchungaji hajambo???vipi ulipata vile vitunguu saumu sokoni,niko njiani natoka mbeya naweza waletea gunia nipokee baraka zangu??lol:hungry:
Hahahaah....weWE unataka nimkimbie baba mchungaji sasa ehhh???!!!Nwyz sasa hivi yuko salama ila hivyo vitunguu vinaweza vikaondoa huo usalama so plzzzzzzz tuletee kwenye malboro tu!
dah! hapo red hapo. akiona lizzy lazima ataweka kauzibe tu. me love you more bana wakijinyonga kazi kwao.