Seriously looking for a business partner

Kativo

Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
55
Reaction score
15
Hi wana-JF, jamani nisaidieni. Nataka kufungua retail hardware lakini sina mtaji ila nina experience na na shughuli za ujenzi. Sasa natafuta wholelers wa hardware ambao wanaweza wakanipa mali nikauza halafu nawarejeshea pesa yao kadiri bei tutakavyokubaliana bei na mie nachukua kafaida na kujijenga taratibu. Niko tayari kufanya makubaliano kisheria na hata udhamini wa nyumba na pia hata udhamini wa ndugu/marafiki. Niko Arusha lakini pia niko tayari kufanyia kazi hii popote Tz. Nimekwama naona labda njia hii itanikwamua. Contact 0715422594 au ni PM.
 
Kwahapo naona itakuwa ngumu saana kupata mtu, Kama tayari ulikuwa na sehemu i mean duka tayari ingekuwa rahisi, nani atakubali kukupa pesa za kulipia pango, then na mali?. Kama una nyumba itumie kama collateral kukopa kwenye ma bank, prefarably NMB, Akiba, Access Bank.

Nakushauri kama unataka biashara itoboe mapema, ni vema ukaenda kwenye hizi wilaya mpya kama KILINDI nk, kuna miradi mingi saana ya ujenzi inaendelea, lazima utapata soko la bidhaa zako.

Otherwise kusanya kwanza kamtaji ndugu, idea na uzoefu kila mtu anao,kumbuka hata mabank hawatoi mkopo wa kuanzisha biashara wanatoa mikopo kwa ajili ya biashara ambayo tayari umeshaanzisha

Kila la kheri
 

Ahsante sana kwa ushauri. Mie garama za kukodi fremu nina uwezo wa kulipia.
 
. Mie garama za kukodi fremu nina uwezo wa kulipia.
jaribu kufikiria biashara nyingine ambayo haitohitaji mtaji mkubwa. Watu wana millions of b'ness ideas ila mtaji ndio sheshe.
 
I commend you for having enterpreneurial spirit. I'd advise you to rent a space somewhere, and stock it with a few hardware items after which you may need to see the wholesellers/suppliers and present your case. I'm pretty certain that they may show some interest and may be willing to supply you with all the items you need. Please do not give up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…