Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
Sijali elimu wala kazi yake. Ila ningependa awe mrembo na kikubwa awe mwenye hekima ya kuishi na mume. Endapo atapenda tutafunga ndoa japo sio lazima pia kama hahitaji
Mimi
umri miaka 30
Ni mfanyakazi na naendesha biashara kadhaa
Kristo
Samahani: asiwe Mchaga
Mawasiliano PM yako nipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi
umri miaka 30
Ni mfanyakazi na naendesha biashara kadhaa
Kristo
Samahani: asiwe Mchaga
Mawasiliano PM yako nipe
Sent using Jamii Forums mobile app