Mimi napita tuu mkuu
Kama hutaki kuoa mchaga, wataolewa na nani?Sijali elimu wala kazi yake. Ila ningependa awe mrembo na kikubwa awe mwenye hekima ya kuishi na mume. Endapo atapenda tutafunga ndoa japo sio lazima pia kama hahitaji
Mimi
umri miaka 30
Ni mfanyakazi na naendesha biashara kadhaa
Kristo
Samahani: asiwe Mchaga
Mawasiliano PM yako nipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanin unawogopa/kuwakataa Wachaga
MkuuSijali elimu wala kazi yake. Ila ningependa awe mrembo na kikubwa awe mwenye hekima ya kuishi na mume. Endapo atapenda tutafunga ndoa japo sio lazima pia kama hahitaji
Mimi
umri miaka 30
Ni mfanyakazi na naendesha biashara kadhaa
Kristo
Samahani: asiwe Mchaga
Mawasiliano PM yako nipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kwanini hataki dada zetu wa kichagga ?Kilichonifurahisha ni kuwa wewe ni expert member.
Kila mtu ana mtazamo wake. Kwake huenda wana mapungufu fulani.Unadhani kwanini hataki dada zetu wa kichagga ?
Huyu si mtu wa kwanza kuona ana negative attitude towards dada zetu. Mmoja yeye alisema dada zetu wanapenda sana pesa ndio maana yeye hawapendi. Huyi jamaa sijui sababu yake itakuwa niniKila mtu ana mtazamo wake. Kwake huenda wana mapungufu fulani.
Mimi napita tuu mkuu