Service charges katika maghorofa zazua taharuki

Service charges katika maghorofa zazua taharuki

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
02 February 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Waomba mamlaka kuigilia kati, kampuni inayosimamia huduma ya jengo la ghorofa

Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO, pia service charges za usafi ni laki tano kila mwezi ... wakaazi wameona sasa wapige kelele TRA, TANESCO na vyombo vingine viingilie kati.

Chanzo : ICON TZ TV
 
si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Kwa mwezi au mwaka?
 
Kumbe ndo hawa acha nao dawa iingie leo wanatusumbuaga sana hawa kwenye industry zao
 
si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Kwa mwezi au kwa muda gani? Naona kama kuna maana nyingine ya service charge unayozungumzia.
 
Tuambiane ukweli juu ya makazi ya namna hii. So, hata za NHC, service charges huwa ni kubwa pia?.
 
Back
Top Bottom