Hahaha....aiseee, jamaa kauza apartments bado anataka kuendelea kuwa sterling wa jengo......halafu wanatumia LUKU moja, jamaa anawavuna kwelikweli.Nyumba yako service charge 500,000/-. Sasa unatofauti gani na mtu aliepanga?
si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000Nyumba yako service charge 500,000/-. Sasa unatofauti gani na mtu aliepanga?
Mmiliki wake atakuwa mswahili tuDuh kumbe raha za ghorofani zina karaha pia
Kwa mwezi au mwaka?si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Kwa mwezi au kwa muda gani? Naona kama kuna maana nyingine ya service charge unayozungumzia.si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Pengine amechanganya service charge na rentKwa mwezi au mwaka?
Apartment ni nzuri kupangisha. Unampangisha mtu service charge unaijumlisha kwenye kodi.Hata pale magomeni service charge itawafukuza wengi
Service charge yahusisha
Rift
Ulinzi
Usafi
Maintanance
Ni service charge kwa apartment moja au zote?si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Chama gani?Huyo diwani ni mbabaishaji sana
TawalaChama gani?
kwa mwezi iyoKwa mwezi au mwaka?