Service charges katika maghorofa zazua taharuki

Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO,
Floor 9 wameshindwa kuchagua kiongozi wa serikali ya mtaa humo mpaka waisumbue serikali kuu!!
 
kwahiyo huyo mhindi ndio amekuwa akiishi mjini kwa namna hiyo? amekwepa kodi miaka yote hiyo na ana uwezo hata kuweka mabaunsa kwenye mali za watu? kwani mimi nikijenga gorofa nikauza condominium lote, nakuwa nimebakiwa na nini pale cha kumiliki? na natoa wapi sauti? si wale walionunua wanatakiwa kuweka utawala wao sasa? au?
 
hiki ndio kilinifanya kipindi fulani niogope kununua apartments, kwasababu unaweza inunua kwa milioni 400 mfano, lakini kila mwezi zinakutoka karibia milioni za service charges (maji, umeme, usafi, ulinzi n.k). si bora nichukue hiyo hela milioni 100 nikanunue kiwanja sehemu bora kabisa, nijenge jengo langu peke yangu service charge ziwe si zaidi ya elfu hamsini au haizidi hata laki kwa mwezi
 
UNAAMBIWA ETI UNATUMIA MAJI MENGI KUCHAMBA,KWAIYO BILI YA MAJI IMEPANDA
 
Mfano nkasema silipi servicecharge watanifanya nini?
Maana apartment ni yangu
 
si bora iyo apartiment bei zao ni nafuu,pale victoria kuna apartiment zinauzwa lakini service charge yake ni around dollar 1500 hadi dollar 2000
Tanzania kuna mambo ya kifala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…