Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana kuna wakati kutumia kingereza ni muhimu wala usingepata shida ya kuja kuuliza hapa.wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
Hiyo unayosema "ulisikia" na wakati huo huo hukuelewa inanipa picha hupendi kushughulisha akili yako.nilisikia puma wana ofa,ni wapi naweza pata maeneo ya ubungo? Sio ubahili ila kila kitu unachofanya jitahidi kutunza pesa kwa quality inayokubalika
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
Bro nakuelewaga, hubahatishi.bp imekuwa PUMA.....na vilevile PUMA hao hao wanatumia lubricants za CASTROL......obvious waliokwambia walikuwa wanabahatisha!! mimi natumia TOTAL...ila aina ya gari na matumizi yako ni muhimu kujua utumie aina gani ya oil. gari yenye TURBO inatumia oil tofauti na gari isio na turbo hasa diesel.