Habari wana JF
Nataka kujua ni vitu gani vinatakiwa kuangaliwa kwenye gari wakati wa service ya gari nikimaanisha service ya kawaida (basic service) na ile service kubwa.
Natanguliza shukrani
===
Soma Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje