E etum Member Joined Feb 18, 2014 Posts 70 Reaction score 51 Sep 26, 2016 #1 Habari wana JF Nataka kujua ni vitu gani vinatakiwa kuangaliwa kwenye gari wakati wa service ya gari nikimaanisha service ya kawaida (basic service) na ile service kubwa. Natanguliza shukrani === Soma Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje
Habari wana JF Nataka kujua ni vitu gani vinatakiwa kuangaliwa kwenye gari wakati wa service ya gari nikimaanisha service ya kawaida (basic service) na ile service kubwa. Natanguliza shukrani === Soma Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Sep 27, 2016 #2 Ndugu etum wakati tunasubiri michango ya wadau, Pitia hii thread: Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje
Ndugu etum wakati tunasubiri michango ya wadau, Pitia hii thread: Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje