Service za Magari.

shamsi19jr

Member
Joined
Oct 25, 2015
Posts
14
Reaction score
21
Service za Magari Ni kitu muhimu Sana katika kuhakikisha usalam wa gari yako,wewe mwenyew na wengine.

Bahati mbaya sana huku kwetu service huwa tunazifanya kwa mazoea ndio maana sio ajabu gari kwenda gereji kila wiki muda mwingin mafundi tunashindwa kufuata misingi ya professional na Uaminifu yaani unatengeneza ili kesho arudi tena.

Service should be done under manufacturer specification na hapo ndio utaweza ku archive designed durability after service.

Huwa naumia sana kuona mteja anakuja na tatz la plug wakati since amebadili hata 3000km bado [emoji19]

Mfano engine ya Toyota passo aitumii oil sawa na Toyota Noah Ila watu wamekuwa wakifanya ivo bila kufuata manufacturer ame, recommend nini kwa engine iyo.

Nawakumbusha mafundi na watumiaji wa magari tuwe na utaratibu wa kufuatilia na kujifunza kujua bila kubahatisha kipi Ni sahihi kipi sio.

By Eng.Shamsi HA
0789 426 655
 
Huu Uinjinia ni wa kukaa darasani au ni ule wa kijiweni?

Maana siku hizi hata watu wa Veta wanaitana Engineers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…