Servise rev hii ina maana gani

Servise rev hii ina maana gani

Mount Love

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Kuna hili swala watendaji wanapita kwenye biashara za watu kudai hiyo service rev(wanavidai ni karibisha mteja, pale naposema mteja karibu basi lazima nilipie kwa mwaka hiyo karibisha mteja) sasa ukiwauliza ina saidia ninj katika jamii husika 'jibu; ukitaka kujua mengi nenda halmashauri ya mji. Sasa yeye ni mtendani ina maana kabla hajapewa jukumu la kudai hiyo fedha ya service rev tsh 20000 anakuwa kapewa semina, anashindwa vipi kutoa maelezo? Na usipo lipa wafunga ofisi kwa kufuli zao. Je, ipo kisheria kweli hiyo ya kufunga biashara ya mtu asipolipia? Swali la kujiuliza " michango mingi inakuja kwa lengo la maendeleo na wananchi ndo wanachangia ila mwisho wa siku hamna linalotokea; je, kuna ulazima wa kutoa au ndo miradi ya viongozi??
 
Back
Top Bottom