Set nzima ya WIX

virginity

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
898
Reaction score
970
wadau nimejibana atimae nimejinunulia zawadi ya set ya WIX pamoja na scrub. Ningependa kujua kama kuna wadau wengine humu wanatumia wix je kuna kitu niongezee ili niwe msupuu zaidi[emoji3059]

Napenda sana kubakia natural. Mnishauri pia vitu vinavyotoa weusi kwapani na ikulu[emoji1751]

Nawasilisha.
 
Weusi kwapani tumia goldie
 
Hapo si chini ya 200k hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo ulikuaje? Je unapenda matokeo ya sasa ama unapenda ulivyokua mwanzo?
Yaan Kwa kifupi wix inangarisha....
Kwa hiyo Mimi napakaga Kwa step...
Hiyo serum...usipake uson kama ilivyo changanya na Sasa ujinga WA hiyo mafuta yake ni mazito sana Kwa Uso wenye mafuta....
Kama hutakia kungara dondoshea serum kidogo sana kwenye mafuta...
Japo Mimi mafuta mengine niliyokupa nayatumia nilikua napaka serum tu uson ila Kwa wix serum yake sio kungarisha tu naona inachubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…