Set nzima ya WIX

Ooooh kumbe! Mi usoni napaka kale kausoni. Ukichukua set kuna ya usoni pekee na ya mwilini pekeake. Basi ya mwilini napaka mwilini na ya usoni napaka usoni tu. Vitu vya cocoa vinanitoaga chunusi na lile kopo kubwa lina cocoa.
labda nikuulize naweza kuchanganya serum kwenye kale kadude ka usoni?
 
Vinatoa chunusi sababu ya Yale mafuta ndani yake imagine "butter"
SI hako kavhuoa karefu au? Ndo ka serum au Mimi nachanganga madesa ngoja wataalamu waje
 
Ile serum ni ya body cream na sio face cream, hapo labda utafute serum yoyote tu nzuri ya face cream yako....mfano AHA OG
 

Hii fact nikiwaambiaga wadada wanaona nawaonea gere

Binafsi natumia Garnier products na Pond’s zimenibariki nipo na natural color yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…