Seven Countries with the Highest Population of Black People outside African Continent

Nimefurahi kuiona colombia
 
Population ndio kigezo cha awali, Brazil inayo population kubwa (Majority) kushinda Haiti.

Mfano; Brazil inao Chocolates million 75 kati ya million 120 huku haiti inao million 1.7 kati ya million 1.9
Vizuri ingepimwa kwa percentage.
Mie naona ya kwanza ingekua Haiti kwasababu 90% ya watu wake weusi.
Ila hiyo ya Brazil ni km 70 to 80 % of population.
 
Kwa Afrika ya Mashariki Waarabu ndiyo waliendesha utumwa. Imekuwaje kwenye nchi za Uarabuni hakuna Waafrika kama ilivyo Ulaya na Marekani?
 
Kwa Afrika ya Mashariki Waarabu ndiyo waliendesha utumwa. Imekuwaje kwenye nchi za Uarabuni hakuna Waafrika kama ilivyo Ulaya na Marekani?
Asilimia kubwa ya Wayemen ni weusi.
Hata Somalia unayoiona zao la mbegu ya kiyemen.
Saudia wapo pia ikiwemo mkuu wa zaman wa majeshi ya Saudia alikua mweusi.
 
Kwa Afrika ya Mashariki Waarabu ndiyo waliendesha utumwa. Imekuwaje kwenye nchi za Uarabuni hakuna Waafrika kama ilivyo Ulaya na Marekani?
Most of slaves in Arabic Countries were Castrated....Walihasiwa.. chezea Maarab wewe??!!!
 
Uarabuni, uhindini na uchini blacks wanatakiwa wawepo kwa wingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…