Instead of him or her try and improve yours. Nadhani iko shida mahali kudhani lugha zaidi ya mawasiliano yaweza kuwa kigezo cha smart. Kutokujua kinyakyusa, kifaransa, kifipa, kirusi, kihaya, kichina nk, hamkufanyi mtu kuwa mjinga.
Kwa akili ya nadharia utadhani vile lakini uhalisia sio.