Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 237
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?
Naomba Kuwasilisha
Naomba Kuwasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?
Naomba Kuwasilisha
Nenda kwao kamuulizie.Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?
Naomba Kuwasilisha
Dah! Christina Mosha longtime kitambo! Last time radioni ilikuwa EA radio kipindi cha asubuhi!
Baadae akaniambia yupo kwenye ile entartainment company ya yule mtoto wa mengi ambaye ni marehemu then baadae sana ndio nimesikia yuko Sony!
She is very talented radio presenter na hasa kama mnakumbuka Breakfast show (siku hizi power breakfast) akiwa na Jimmy Kabwe!!!
kwa sasa pia ni msemaji wa Tanzania Tennis association
...mkuu sio kwamba umemchanganya na Fina Mango?..kama sikosei msemaji wa Tennis sasa ni Fina!
Fina ni msemaji au makamu mwenyekiti?
Fina ni msemaji au makamu mwenyekiti?
kwa sasa pia ni msemaji wa Tanzania Tennis association
Ntaleta pichaNdugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?
Naomba Kuwasilisha