Seven yuko wapi?

Punda wa Dobi

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
591
Reaction score
237
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?

Naomba Kuwasilisha
 
Dah aisee umeuliza swali zuri mana hata mimi nitafaidika kujua coz nilikuwa namkubali sn hyu dada
 
Jaman ata mimi ninemiss simsikii kabsa..lakin alipata dili la sony sauzi
 
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?

Naomba Kuwasilisha

Kawa yahaya naye?
 
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?

Naomba Kuwasilisha
Nenda kwao kamuulizie.
 
Dah! Christina Mosha longtime kitambo! Last time radioni ilikuwa EA radio kipindi cha asubuhi!

Baadae akaniambia yupo kwenye ile entartainment company ya yule mtoto wa mengi ambaye ni marehemu then baadae sana ndio nimesikia yuko Sony!

She is very talented radio presenter na hasa kama mnakumbuka Breakfast show (siku hizi power breakfast) akiwa na Jimmy Kabwe!!!
 
bas atakua levo zingine sku hizi
 
kwa sasa pia ni msemaji wa Tanzania Tennis association
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…