Severance pay calculations

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Wadau naomba kujua formula ya kutafuta haya malipo kwa Tanzania.
 
Wataalamu naomba tafasiri ya hio maneno hapo juu.lets say mtanzania analipwa 1.4 na kafanya kazi miaka 18
 
Wataalamu naomba tafasiri ya hio maneno hapo juu.lets say mtanzania analipwa 1.4 na kafanya kazi miaka 18
Calculate mshahara wako wa siku 7
Zidisha kwa miezi 12
Zidisha kwa miaka 10

Utakachopata hapo TRA watakata kodi kitakachobaki ndio net payment
 
Calculate mshahara wako wa siku 7
Zidisha kwa miezi 12
Zidisha kwa miaka 10

Utakachopata hapo TRA watakata kodi kitakachobaki ndio net payment
Uneniuza. Mbona inakuja kubwa sana.
 
Wataalamu naomba tafasiri ya hio maneno hapo juu.lets say mtanzania analipwa 1.4 na kafanya kazi miaka 18
1.chukua hiyo 1.4 gawa kwa siku 30
2.jibu utakalopata hapo juu lizidishe mara siku 7
3.jibu utakalopata hapo juu lizidishe Mara miaka 8

...4...jibu utakalopata hapo juu no.3 ndio kiasi sahihi utakachopata kama severance pay kwa miaka uliyo Fanya mkuu
 
...Mara miaka 10 sio 8 mkuu...sorry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…