Severance pay hulipwaje?

Severance pay hulipwaje?

bemg

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
2,799
Reaction score
643
kuna rafiki yangu alikuwa anafanyakazi kwenye sekta binafs kwa kipindi cha zaidi ya miaka10.alikuwa akipewa mikataba ya mwaka mmoja renewable.hv karibuni mktaba ulipoisha mwajiri wake hakutaka kurenew na akampa termination letter.Huyu ndugu amelipwa mshahara wake wa mwezi ulipoishia mktaba na siku zake za likizo kwa miaka ambayo hakuenda likizo.Je hana haki ya kulipwa severance?
 
Hapo anatakiwa alpwe severance ni 7 days basic pay times number of yrz has served not more than ten,mwambie aende labour ofc watamsaidia.
 
Asante mkuu nitamwambia
 
Back
Top Bottom