kuna rafiki yangu alikuwa anafanyakazi kwenye sekta binafs kwa kipindi cha zaidi ya miaka10.alikuwa akipewa mikataba ya mwaka mmoja renewable.hv karibuni mktaba ulipoisha mwajiri wake hakutaka kurenew na akampa termination letter.Huyu ndugu amelipwa mshahara wake wa mwezi ulipoishia mktaba na siku zake za likizo kwa miaka ambayo hakuenda likizo.Je hana haki ya kulipwa severance?