Sevilla have paid tribute to " club icon " Jose Antonio Reyes after announcing his Exit from the club.
Mchezaji huyo mwenye miaka 32 amesaidia sevilla kuvunja rekodi baada ya kutwaa kombe la uropa kwa miaka mitatu mfululizo tangu aliporejea klabuni hapo kwa mara ya pili mwaka 2012.
Ikumbukwe kwamba mchezaji huyu nyota aliwahi kucheza kwenye timu mbovu ya Arsenal ya uingereza .
Anatajwa kujiunga na Galatasaray ya Uturuki .