SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

Acheze na Simba, kwani mnyama saa hizi kashazoea vipigo vikubwa vikubwa
 
Mbona unakuwa mtu mzima hujielewi mbona simba alishinda mechi zote tukiita kwa mkapa! Hao wachina wamekusaidia nini cha maana
Vijana wa kitanzania limbukeni sana
Ule sio uwanja wa mkapa!!

PALE NI "KWA MCHINA"

Gundu mnauletea uwanja mpaka under 17 wanakojolewa na kila asimamishaye!!!
 
Ule sio uwanja wa mkapa!!

PALE NI "KWA MCHINA"

Gundu mnauletea uwanja mpaka under 17 wanakojolewa na kila asimamishaye!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji23][emoji2][emoji1][emoji23][emoji2][emoji1][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji1][emoji2][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji16]
 
Level ya Simba Sc. Kwa sasa ni ya Barcelona hizi takataka nyingine waachieni Yanga
 
Mbona unakuwa mtu mzima hujielewi mbona simba alishinda mechi zote tukiita kwa mkapa! Hao wachina wamekusaidia nini cha maana
Vijana wa kitanzania limbukeni sana
Wewe LIUMBUKENI usichojua ni kuwa hata matako ya dadaako ni ya kichina!!! Sikwambii kuhusu siasa!!
Nakuuliza mmekopi siasa za wapi vile!

Wewe unamzidi kenge maarifa kidogo sana kiasi kwamba inawezekana isionekana tofauti kabisaaaaaa!!

KWA MCHINA Simba ilikuwa inamnyonga kila aliyetia mguu! Mpaka Limwakyembe ilipojitikeza likajikuna ukurutu hadharani eti pasiitwe kwa mchina! Ndio mazembe wakapata DROO!

Nimehifadhi maneno! Sema su!
 
Huna lolote ushamba unakusumbua!! Mijitu iliyozaliwa porini ikifika mjini bwana...
 
Paka tu unakuta jitu hata uwanjani halijawahi kwenda eti linapinga uwanja kuitwa mkapa? Kuna vitu vya kupinga la sivyo utaonekana msenge tu
Mbona hujibu?
Siasa za nchi yenu mmekopi toka wapi?
 
Itarushwa shilingi kwa timu 2 simba au yanga ataeshinda atacheza na sevila maana hakuna wa kumcheka mwenzie simba kachezea huko kagera leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…