Sewa Hajji Paroo: Mja mwema aliyejali masikini na walemavu na kuanzisha mashule na mahospitali ikiwepo Muhimbili

Sewa Hajji Paroo: Mja mwema aliyejali masikini na walemavu na kuanzisha mashule na mahospitali ikiwepo Muhimbili

Ahmadi Brown

Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
19
Reaction score
19
#HISTORIA Ya Afrika Ina Mengi Sana, Moja Ya Maandiko Ni Juu Ya Ujio Wa Jamii Za Kigeni, SEWA HAJJI Ni Mmoja Kati Yao Ni Mtu Pekee Aliyethamini Utu Wa Mtu Ambae Hakujali Dini Au Rangi Ya Mtu, Alianzisha Mashule, Makanisa, Misikiti Ndani Ya Bagamoyo Na Hospital Ya MUHIMBILI Ndani Ya DAR ES SALAAM

IMG_20191013_201407_142.JPG
 
Baada ya SEWA HAJJI, itakuwa vyema ukileta na stori ya Mwaisela.
 
Back
Top Bottom