Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
get him on tape and sue his @$$. people who take advantage of others make me so mad!!
in the US, the lecturer could get fired or at least get transfered, so she would have helped future students by getting rid of him. leaving school isn't any easy decision either, imagine her parent's reactionblaine n kurt
What about hewr certificate she longs for...........................ushauri wangu aachane na hiyo shule akafanya shughuli inayokwendana na kurandana na vipaji vyake....yaelekea huko siko alikopangiwa na Muumba..........
[MENTION]Atalala na wangapi? Kama kichwa chake ni kigumu? It means masomo yote hatoweza kufaulu. Na kwa miaka mingapi?
Kama ameona kichwa chake kigumu basi akatry kwingine si lazima kwa mfumo wa elimu, asilazimishe sana elimu kwani wengine imewakataa na wamefanikiwa kwa mtindo mwingine.
uwezo hana au huyo mwalimu anamfelisha makusud ili dadaa aamini uwezo hana ili atoe hiyo rushwa ya ngono, coz hizo zipo xana college kama instructor kavutiwa na mwanafunzi wake wa kike..
hakunaga pccb huko?
in the US, the lecturer could get fired or at least get transfered, so she would have helped future students by getting rid of him. leaving school isn't any easy decision either, imagine her parent's reaction
BADILI TABIA tatizo binti ndie anaomba apendelewe bila ya kutoa chochote kile........
[MENTION]jamani mbona hii wawweza kuitengenezea platform nzuri tu? amkubalie atafute vifaa vya kiitelijensia hata kama ni kajikalam tu amtogoe kwa maneno laini ili atae analilihitaji na returns zake kisa wakubaliane waende waka do wakifika b4 bint anarudia tena ili kuthibitisha aloyasema mwanzo sasa hapo ana mblack mail kiukweli aisee.
manake akidropout wengine wanaokuja watautana na hii dhahama so ni bora akimwaga mboa yeye awage ugali
@ikiwa maendeleo yake ni ya kusuasua, ama aongeze juhudi zaidi au aangalie anachoweza kufanya kwa uwezo wa akili yake. Akianza kugawa kwa cheti, ataendelea kugawa kwa kila kikwazo kinachomkabili maishani. Heshima yake inapaswa iwe kitu cha mwanzo kabla ya mahitaji yake na ya wanaomzunguka.