Jaiter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 618
- 1,552
Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k?
Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu wanagusa pasipostahili ilihali wengine mapenzi ni kama kibali cha kufanikiwa? Kuna ambao wanaliona hili ktk jamii? Au wenye hekima au uzoefu?