Sex and bleed

Sex and bleed

wonderaz

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
60
Reaction score
6
Habarini wandugu;
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kuingia bleed kila anapomaliza sex,na hata kama sio siku za karibu na mzunguko wa hedhi,yeye akiduu lazima akavae ped je kuna mwenye kujua labda tatizo ni nini hapo msaada jamani
 
Aende tu hosptl akaelezee opful atasaidiwa kuliko kusubir ushaur kwanza..pole.
 
Kama kawaida Hospital kwanza Ushauri baadae,unaweza kukuta ni magonjwa ya zinaa au maumbile ya uume ni marefu na makubwa hayaendani na ya ke,na mambo mengine mengi.
 
akapimwe kwa daktari..aweza kuwa na kansa shingo ya uzazi
 
Aende yeye na jamaa yake hospitali, inawezekana jamaa ana mshedede mkubwa kupindukia, dkt anaweza kushauri awekewe pete!
 
Back
Top Bottom