Habarini wandugu;
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kuingia bleed kila anapomaliza sex,na hata kama sio siku za karibu na mzunguko wa hedhi,yeye akiduu lazima akavae ped je kuna mwenye kujua labda tatizo ni nini hapo msaada jamani
Kama kawaida Hospital kwanza Ushauri baadae,unaweza kukuta ni magonjwa ya zinaa au maumbile ya uume ni marefu na makubwa hayaendani na ya ke,na mambo mengine mengi.