Sex at young age

mimi nakwambia dada ndoa kuwa imara sio kwamba vile mtu alikuwa bikra sidhani kama bikra ina impact yoyote kwenye ndoa..siamini....
mtu unaolewa bikra..ni mchoyo,huna ukarimu.una gubu ...mwanaume gani atakaa hapo? but mtu anaweza kuwa amemegwa but ana adabu zake na ndoa yake ikasimamamy sis ...ndoa sio bed nadhani
 

dada naomba unieleweshe kidogo vijana wanapoowana na usiku wa fungate kama kijana atampata binti ni bikra kuna ujumbe atawapa washenga waupeleke ukweni kuwa amepata mwanamwali<bikra> au inakuwa ni kama desturi mashangazi wa bwana arusi kuja ukweni na vigelegele na kanga ya kumvalisha mama mkwe.naomb ufafanuzi kama unaelewa hapo
 
Last edited by a moderator:
you are welcome.
PS: unrelated to the topic, how do you mention a user, i tried but failed

click the @ sign then without putting a space write the name of the person in small letters bur correctly in spelling. make sure to put space if present in that name like yours.
 

What they actually mean is that the repercussion of doing it differently from the way people around you perceive it is a problem. what if in those communities a girl is found to have sex at five? or to be a virgin at 20? those would seen as ab normal and will experience rejection.
 

hiyo ninaijua na najua ni kwanini iko hivyo. kuna makabila mengine wanapeleka hadi mguu wa ng'ombe wa nyuma.nichek pm nikupe ufafanuzi zaid
 
click the @ sign then without putting a space write the name of the person in small letters bur correctly in spelling. make sure to put space if present in that name like yours.
thanks gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Smile mdogo wangu wa moyoni mbona unasahau kwamba kipimo cha kwamba binti hakuwah kufanya uzinzi ni ubikira? na kuwa na bikira haina maana kwamba tabia nyingine zote ni nzuri kwako neva. ila kwa ile inayopimwa kwa ubikira hiyo umefaulu ila zinazopimwa kwa vizio tofauti hizo nazo hupimwa tofauti.

ishu hapa ni jamani wewe binti basi kama ubikira hauna basi tafutapo tabia nzuri ya kujazia, jamani mtu bikira zote hana bado nidham F, usafi bora hata na bata, ukarimu mamba anaafadhali, uchoyo nyoka anaiga, uchu fisi anaafadhali, mtembezi kuku anaiga, ulevi komba kakusajili, unafki panya anakujua, kusema sema hovyo kasuku kakusajili, lugha chafu nguruwe mwanachama mwenzio hivi kweli wewe binti hiyo ndoa waitafuta ya nini?
Smile haya nawasema wengine siyo wewe eeh mpenzi wangu wa moyoni.
 
Last edited by a moderator:
Je kuna mwanaume bikira?Na yeye siku ya kwanza kubikiriwa inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…