Eee bana tunabadilisha mwonekana wa mtoto kwa rangi utakayopenda. Ukipenda mchina zaidi tunawafanya wote wachina. Fanya appointment sasa. Huwa nakuwa busy sanaaaaaaaaaaaa!
papito appointment ndio hii tushakubaliana. mie naona bora wawe wabongo ila na rangi kidogo.
sasa hebe sema basi inatakiwa niandae nn, sipendi kujiandaa nusu nusu ktk mazingira kama haya.
umeanza kunitia was was, kumbe tiba yako inaweza isiridhishe?
Kha we chezea sisieeeeeeeeee. Tiba za kuanza kumwambia mtu katafute kuku wa kijani sina bana. Mimi natibu wagonjwa wangu wanapona kwanza! ALA! Afu wakipona tunakubaliana! Sio unaanza kupewa mijigharama mpaka basi! Ila sikulazimishi amua mwenyewe! Ukizaa black and white shauri yako bana! Tena nimekumbuka siku chache zijazo ntakuwa pale Dodoma waheshimiwa wengi wanahitaji tiba! So if you cant make reservation now its up to you honey!
Eh Mangi you have made ur point. nataka nije nione unafanya vipi tiba
watoto wakiwa rangi tofauti haijalishe mradi watoke tu salama kwenye K. put me in ur diary. mwaaaah.
mwakajila una miaka mingapi? una umri gani? unapenda ngono kiasi gani? ama hupendi?Je unaujua mtandao wako?yaani na kampeni zote hizi za ukimwi bado unapigwa mbichi!!!!Una roho ngumu sana we dada...
m in early 30s..napenda ngono vya kutosha ila with my woman(wife) 10 times a week but can do more.mara ya mwisho nimepima juzi sabasaba na ni negative.MY TAKE kavu na maganda ni tofauti ndio maana mnaambiwa badilini tabia..Hivi EROTICA hujishangai kulala na wanaume watano tofauti wote kavu?
It is iteresting 2 hear1